GIB
JF-Expert Member
- Mar 2, 2012
- 336
- 92
sababu kubwa nikuto muogoba Mungu.
Pili shetani ameamua kuingilia ndoa kama institution amboyo ina determine what next generation will look like.Familia nzuri itakuwa na watoto wazuri(wema) na wanao muogopa mungu. familia waruwaru (baba waruwaru , mama mcharuko) na watoto watakuwa hivyo hivyo. kila siku tunakuwa na watoto wa mitaaani, watoto yatima, machangudoa, vibaka ukikaa nahao wausika watakuambi kisa baba kamuacha mama au ugomvi usiyo kwisha nyumbani au wazazi wamekufa kwa HIV/AIDS. hivyo shetani amaamua kushikilia hapohapo.
Sababu nyigine zote ni justification tu ya kujiridhisha. kwani ukiona una m cheat mume au mke wako kwasababu yeyote hapa duniani basi ujue umeshanasa kwenye hilo tego la shetani.
turudi kwanye misingi yandoa. mimuunganiko wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke, pia utampenda na kumweshimu siku zote za maisha yako, katika shida na raha ,taabu na dhiki. mpendana na kuheshimiana hadi kifo kiwatenganishe.