Kwa wanawake waliozaa

Kama ulipanga na kuamua kupata huo ujauzito utajisikia furahana amani lakini kama imekuwa ndio vile lazima upate tumbo joto!
 
mafua ya ghafla, kikohozi na baridi kali kinoma
 
naona hii hainihusu kabisa, sijawahi kupata mimba
 
not really n i was still preparing for professional commitments.so unaeza imagine,homa ya ghafla.
but hw do u feel now that u have u baby my daughter?
 
but hw do u feel now that u have u baby my daughter?

i cant find the exact words to express how i feel,kila ninapomuangalia ndani ya macho yake na kuona ile smile yake ya kitoto napata faraja kubwa ndani yangu.am so happy to be a mother and i love my baby so very much!!!!
 
hongera mpendwa
u r making me jealousy sasa
kweli waoto huleta furaha, jirani yangu ana kabinti about 2 yrs hivi, she z so sweet and when i go home she will come runninh and she calls me 'mama'... (hakulelewa na mama)
yaani hata kama nimechoka nikimuona nasikia furaha sana!! I feel sorry for her mother she doesnt knw anakosa nini
 
:A S-rose:Kwanza i was so confused jamani but now mmh i can't imagine myself ..... Hahaha najisikia furaha sana nina kabinti kangu 3.5 years duh nikitoka kazini kwanza kananikiss mwa shavuni .mamy mamy i miss u ..umeniletea nini leo teteteteh raha jamani raha sana :A S-rose:
 
Ni kweli huyo mama anakosa kitu muhimu sana,seeing ua child grow up and all the challenges in being a mother is one special feeling.
 
yaani mpendwa we acha tu,ka boy kangu kalisha kalili muda wangu wa kurudi home nikichelea kidogo tu anakosa amani kabisa.then akifika unapata mahug ya kufa mtu...aaii jamani raha
 
Ni kweli huyo mama anakosa kitu muhimu sana,seeing ua child grow up and all the challenges in being a mother is one special feeling.
these lil angel jamani dah....
mi kanifurahisha sana eti ukimuuliza umevaa nini huko.....she z like 'pachi pachi' akimaanisha pampers.....lol and she z so young jamani lakini she tries hard to speak!!!

Mungu huyu jamani dah!!!!

hongereni wa mama jamani.......you are so lucky and blessed!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…