Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa best na wewe bado upo upo? lol!!hongereni kwa wenye watoto
mie bado kwanza nipo nipo .......🙂
yaani mpendwa we acha tu,ka boy kangu kalisha kalili muda wangu wa kurudi home nikichelea kidogo tu anakosa amani kabisa.then akifika unapata mahug ya kufa mtu...aaii jamani raha
@FL1 & daughter!!! wow so sweet and lovely...
I think I'm still confusing or not ready to be a mother....
@FL1 & daughter!!! wow so sweet and lovely...
I think I'm still confusing or not ready to be a mother....
Yani nyie wote manaosimulia furaha za kuwa na mtoto na mlivyojisikia mara y a kwanza ndo mnanizidishia haswa hamu ya kubeba ujauzito hata leo usiku. i just cant wait ila ndo hivyo kila kitu na mipangilio yake.
CONGS TO ALL MOTHERS WA JF AND EXPECTANT MOTHERS PIA :grouphug:
Hukuelewa swali??Kama ulipanga na kuamua kupata huo ujauzito utajisikia furahana amani lakini kama imekuwa ndio vile lazima upate tumbo joto!
hahaha safi sana daughter ni raha iliyoje upendo wa mama kwa mtoto .mwenyezi mungu aliweka maajabu ..me naplan baby mwingine next year huyu akiwa 4 years nadhani itakuwa njema sana
Hii thread kumbe ya wajawazito? Ngoja nisepe....Ila ningekuwa mwanamke nisingekubali kupata mimba, na kama ningeipata (lazima ingekuwa kwa kubakwa) ningefanya abortio:dance::dance::dance:
Nisamehewe kwa kutopata ujauzito? Ushindwe na ulegeeke.usamehewe bure
these lil angel jamani dah....
mi kanifurahisha sana eti ukimuuliza umevaa nini huko.....she z like 'pachi pachi' akimaanisha pampers.....lol and she z so young jamani lakini she tries hard to speak!!!
Mungu huyu jamani dah!!!!
hongereni wa mama jamani.......you are so lucky and blessed!!
When my lil Angel was born i had a C section lakini furaha niliyopata the doctors were amazed jinsi nilvyopona upesi. She is now 18 months and am enjoying every sinlge day to the maximum esp her kisses mwaaa mama, (cant do the real chum). I love her with everything I have got.
God bless all mothers and mothers to be