Congratulations! Siku zote nilidhani wewe ni njemba.
Ni kweli huyo mama anakosa kitu muhimu sana,seeing ua child grow up and all the challenges in being a mother is one special feeling.
Ulijisikije siku ya kwanza ulipojijua una mimba?
Jamani mnanitamanisha sana manake mie mara baada ya kujifungua nilimwacha my baby akiwa na about 4month eti nakimbilia kurudi shule, yaani sometimes nikiwaza naona ni upuuzi tu, sijui kwanini nilimwacha mwanangu akiwa mdogo vile. But now he is 2.3 yr but sikumtendea haki kabisa.
Jinsi michango yako ilivyotulia hapa jamvini (pamoja na Avatar yako) basi mwenzio nilidhani wewe tayari ni Mama. Subira yavuta heri, nawe ukiwa tayari utajaliwa watoto wazuri wakupe furaha tele for the rest of your life.
hongera mpendwa
u r making me jealousy sasa
kweli waoto huleta furaha, jirani yangu ana kabinti about 2 yrs hivi, she z so sweet and when i go home she will come runninh and she calls me 'mama'... (hakulelewa na mama)
yaani hata kama nimechoka nikimuona nasikia furaha sana!! I feel sorry for her mother she doesnt knw anakosa nini
Umebarikiwa wewe Mama; Mungu Mwenyezi akusamehe kosa hili usirudie TENA; you missed a very special moment with your offspring; halafu Baadae mnalalalma watoto hawa relate nanyi! Hivi unajua wanasikia kila kitu tangu wakiwa matumboni mwenu! I can prove that!
hahaha safi sana daughter ni raha iliyoje upendo wa mama kwa mtoto .mwenyezi mungu aliweka maajabu ..me naplan baby mwingine next year huyu akiwa 4 years nadhani itakuwa njema sana
Yani mnavyosema hivo natamani sana ningekua na mimi nina mwanangu jamani.
Natamani sana ila Mungu hajanijalia, nina zaidi ya mwaka kwenye ndoa ila sijabahatika kupata ujiuzito
...I guess you alike....mh!!!:A S-rose:Kwanza i was so confused jamani but now mmh i can't imagine myself ..... Hahaha najisikia furaha sana nina kabinti kangu 3.5 years duh nikitoka kazini kwanza kananikiss mwa shavuni .mamy mamy i miss u ..umeniletea nini leo teteteteh raha jamani raha sana :A S-rose:
Congratulations! Siku zote nilidhani wewe ni njemba.
Yani wewe Power to the People ni Mom??? Duh.....Mo comment yako imekaa ki man man.........Kuna haja ya kudisplay SEX.
Thanx kwa kujua koz hata nami nilikua nimeingia chaka kuhusu sex yako. Hello to ur daughter.
Guys am a woman a real african woman working hard for my children and this nation. And hubby and I are expecting another one we are like 4 weeks pregnant :biggrin:.
My baby can now say "POWER TO THE PEOPLE" not very fluently though started teaching her when she was born.