MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Cuzin niunganishie yule wa rafiki wa shemeji.jamani jamani mnanifanya niogopwe humu wakati hata mke sijapata bado!..
Pozi michongo ya kizamani iyo[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]jamani kaah!kuzungushwa hupendi?
Mwingine si km anakua hakutaki Bali hua analeta pozi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Michezo nishamkataza hiyo ipo siku watamchezea nipate kesi kwa Jaji Rumanyika.Cuzin niunganishie yule wa rafiki wa shemeji.
Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Mimi kuna mtu ananisumbua sana moyo wangu humu jukwaaani. Anajijua kabisa lakini ndiyo ananipotezea tu! Naumia kweli
Hahahaha, Mzee wa PM sioMwenye nyota sasa ni Wick , mimi ni Padri. Totoz zote za humu zinanikimbiaga tu, wala hazijibugi PM nikizitumia. Hebi nipeni maujanja basi na mimi ning'ae
Hahahaha, mkipata huo ujanja msinisahauHahaa - labda tumuambie Wick atupe maujanja ...maana mimi nawewe sidhani kama kuna wa kumcheka mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mkipata huo ujanja msinisahau
MTC | 101| [emoji769]
Kabisaa yaaniYeah hao wa 30s ndio wanapenda sana kuitwa mke wangu .mama watoto huwa hawatongozwi wewe muunganishie tu kwa kumuuita maneno laini matamu
kama ana watoto ili kumu win jitahidi sana kujifanya una wapenda watoto wake .. nunua zawadi wapatie watoto wake .. jitahidi kumuuleza kuhusu mipango yako chanya ya maisha ... hata kama ni ya uongo na kweli "..
Hao wa chini ya 23 ndio wanao penda kusikia kutongozwa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa “Mujini” wanakwambia, sema nae!
Haha duuh nawewe unakazia kabisa ... dahh wadau si wataniona Mimi mtu wa chini sana
Kweli kabisaa mama mwenye mtoto danganya kupenda wanawe hivi!!!Haha duuh nawewe unakazia kabisa ... dahh wadau si wataniona Mimi mtu wa chini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa nitafanya kama sijaiona hii sceanarioHahahaha, kwangu hakuna kitu ,ni ujoka tu umejaa
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, aisee ,kumbe
MTC | 101| [emoji769]