Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.

Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.

Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.

NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Nakubaliana na wewe kabisa.
 
Back
Top Bottom