Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Mimi majibu yanamna hiyo sijui nitakujibu banda nilisha ya sahau ..

Mwanamke wa kuanzia age ya miaka 23s ..huwa hatongozwi unamzoea kidogo unaonganisha masihara masihara .. akikupa namba zake ... mkiwa mnafanya convo unaanza kumuunganishia kumuita yale majina matamu

Baby .mpenzi .mke wangu..sweet .etc .. huku unamsifia Sifia ... ghafla utashangaa tu anajiingiza kwako mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
@Mtu chake anayajua haya?

Bila shaka huu ushauri nao ni murua.

Vipi wale wa chini ya 23 dozi yao ni ipi?

Na hii dozi ya honey, babe, my your wife inaenda hadi kwa 30's???
 
Maramamae ,watu na fani zenu asee

MTC | 101| [emoji769]
 
Hahahaha, mie namfuatilia huyu MTU ana madini sana ,kwa mie Domo Zege napata kitu cha kujifunza kwake
@Mtu chake anayajua haya?

Bila shaka huu ushauri nao ni murua.

Vipi wale wa chini ya 23 dozi yao ni ipi?

Na hii dozi ya honey, babe, my your wife inaenda hadi kwa 30's???

MTC | 101| [emoji769]
 
Yeah hao wa 30s ndio wanapenda sana kuitwa mke wangu .mama watoto huwa hawatongozwi wewe muunganishie tu kwa kumuuita maneno laini matamu

kama ana watoto ili kumu win jitahidi sana kujifanya una wapenda watoto wake .. nunua zawadi wapatie watoto wake .. jitahidi kumuuleza kuhusu mipango yako chanya ya maisha ... hata kama ni ya uongo na kweli "..

Hao wa chini ya 23 ndio wanao penda kusikia kutongozwa ..
@Mtu chake anayajua haya?

Bila shaka huu ushauri nao ni murua.

Vipi wale wa chini ya 23 dozi yao ni ipi?

Na hii dozi ya honey, babe, my your wife inaenda hadi kwa 30's???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdada nilimtongoza nikiwa na mategemeo atanisumbua lakini akanikubalia hapo hapo!

Kiukweli nilishtuka kidogo!karibu nikose cha kuzungumza zaidi!
 
Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.

Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.

Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.

NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Jiwe gizani,,,ameshakusikia boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah hao wa 30s ndio wanapenda sana kuitwa mke wangu .mama watoto huwa hawatongozwi wewe muunganishie tu kwa kumuuita maneno laini matamu

kama ana watoto ili kumu win jitahidi sana kujifanya una wapenda watoto wake .. nunua zawadi wapatie watoto wake .. jitahidi kumuuleza kuhusu mipango yako chanya ya maisha ... hata kama ni ya uongo na kweli "..

Hao wa chini ya 23 ndio wanao penda kusikia kutongozwa ..

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, I wish Dada zetu wasome kitabu cha Steve Harvey, Think Like A Man Act Like A Lady.

Humo jamaa kwamwaga mbinu zetu zote yaani.
 
Yeah hao wa 30s ndio wanapenda sana kuitwa mke wangu .mama watoto huwa hawatongozwi wewe muunganishie tu kwa kumuuita maneno laini matamu

kama ana watoto ili kumu win jitahidi sana kujifanya una wapenda watoto wake .. nunua zawadi wapatie watoto wake .. jitahidi kumuuleza kuhusu mipango yako chanya ya maisha ... hata kama ni ya uongo na kweli "..

Hao wa chini ya 23 ndio wanao penda kusikia kutongozwa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
I can see😄😄
 
Back
Top Bottom