Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, acha niagize thoda ,wenye Uzi washafikaMie huyooo
Jibu lako nikupe leo weekend ama kesho?!
Uchochezi umeanza eeehhhHahahaha, acha niagize thoda ,wenye Uzi washafika
MTC | 101| [emoji769]
Uchochezi umeanza eeehhh
AiseeeHahahaha, hapana, wakubwa wakifika,watoto tunaenda cheza kombolera
MTC | 101| [emoji769]
Aiseee
Ndo zilikuwa zako eeehhhh
Hahaha hahaha hahahaHahahaha, mpk sasa,huoni nawapisha
MTC | 101| [emoji769]
Hahaha hahaha hahaha
Hebu hukooo
Hivi kuna watu bado mnatongoza?!Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
HahahahHahahaha, acha niagize thoda ,wenye Uzi washafika
MTC | 101| [emoji769]
Acha kunitia uchizi basi jamaniMie huyooo
Jibu lako nikupe leo weekend ama kesho?!
Hahaha hahaha
Nakuja saivi
Nasema kweeli jamanii
Sawa kabisaaa
Unacheza na akili zangu eeehhhh
Mhh naanzia wapi kwa mfano ... nakuheshimu mpaka najihisi homaUnacheza na akili zangu eeehhhh