Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Mzee baba inaonyesha umewekwa pending hadi PM ndo maana umemaind........

ila sio siri hakuna kitu inaboa mtu ushamchana live af analeta pozi...... unakuta kengine kanazingua tu... ila na wewe ukinyuti kanaanza kujileta leta.
 
Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.

Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.

Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.

NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Hivi kuna watu bado mnatongoza?!
 
Back
Top Bottom