Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kwa kweli kama miongoni mwenu kuna ambao bado wana tumia hiyo kanuni ....waambie itakula kwao ...

Hiyo kanuni sasa hivi imeshapitwa na wakati kama mafuta ya kimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuacha tu...

Wanatakiwa wakawaombe msamaha waliyowafanyia hayo.
 
Ebu tudondoshee ndondoo mzee baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…