The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Unafukuzia demu miaka minne ni kama una pursue degree ya engineering [emoji23]
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapunguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
Sio kuacha tu...Kwa kweli kama miongoni mwenu kuna ambao bado wana tumia hiyo kanuni ....waambie itakula kwao ...
Hiyo kanuni sasa hivi imeshapitwa na wakati kama mafuta ya kimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa .. Aisee mkuu uko vizuri kama M16Hahahaha, sasa je ,week end hii mtakua wapi?
MTC | 101| [emoji769]
Miaka 4..!? Itakuwa huyo mtu hajielewi aise .. mimi week 2,.. kama haueleweki nageuza gariUnafukuzia demu miaka minne ni kama una pursue degree ya engineering [emoji23]
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
Ebu tudondoshee ndondoo mzee baba.nipo hapa ninakula nasikia mitongongozo sijafikisha tonge la tatu demu kashakubali sasa hivi jamaa kamwagizia grand malt na maji , ugali nyama choma nahisi kabla sijamaliza kulipa bill wataenda kugegedana ,
NDEGE JOHN KUna sehemu unakosea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una taka kumzibia riziki Sakayo nini !?Hahahaha, sasa je ,week end hii mtakua wapi?
MTC | 101| [emoji769]