Kwa wanawake wenye kuupenda uke wao soma ukurasa huu utafaidika na mengi uliyokuwa huyajuwi

So nice!nimepata ktu aisee!thx so much mleta uzii
 
!
!
mleta uzi naye!kwa taarifa yako wanaume tunaupenda kuliko hata wanavyoupenda wanawake.......kwa hiyo kichwa kingekuwa kwa wanaopenda uke someni ukurasa tajwa

na sijui kwa nini huwa haukauliwi juisi tuwe tunajinywea sie!ukiipata saa sita sita na kijua kile nadhani juisi yake ingekuwa iko poa sana

Hahahahahahaa...asee wewe
 
Daah nitamwambia wife apite huku

Mkuu kwa taarifa yako inawezekana hii tukasoma saaana sisi! Wamiliki hata iweje wataona uvivu tuu!

We chukua leo kamsomeshe kwa vitendo... Mleta uzi kichwa kiwe kwa wapenda uke bana!

Watu mpaka wanatishiana marisasi unacheza wewe...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tuwapeni uke
 
“Vaginas vary in shape, size and
colour,” says Dr Elneil. “Some are
small and ovoid (egg-shaped), some
are large and cylindrical, and the
colours can vary from light pink to a
deep brownish red-pink. The
important thing is that the vagina
functions normally.”

Duh... Kumbe, sikuwahi kufikiria!!
 
!
!
mleta uzi naye!kwa taarifa yako wanaume tunaupenda kuliko hata wanavyoupenda wanawake.......kwa hiyo kichwa kingekuwa kwa wanaopenda uke someni ukurasa tajwa

na sijui kwa nini huwa haukauliwi juisi tuwe tunajinywea sie!ukiipata saa sita sita na kijua kile nadhani juisi yake ingekuwa iko poa sana

Wacha nikuelimisha kiswahili kidogo kwanini nikasema au nikandika hivyo nilivyo andika ?sabau kubwa ni kwamba hiyo tarifa imehusiana na tupu za wanawake (Nyuchi zao za kuzalia) kwa kiswahili fasaha ndio unasema kwa wale wenye kuzipenda Nyuchi zao inamainisha kwa wale weney kuzishughulikia kivipi ? kiusafi na kutunza ,kwani sio kila mwanamke ni mtunzani wa nyuchi zake au hata wanaume sio kila mwamume ni mtunzaji wa nyuchi yake hasa kwa wale wenye magovi,na kama utaisoma na kuifahamu (kuelewa) maneno kama vile labia ,ngozi za ziada au ukubwa wa handaki ,hapo hapazungumziwi mapenzi ya watu wawili kinachozungumziwa ni jinsi gani tupuya mwanamke na maumbile yake na kukabiliana na matatizo ya kila siku yanayowakabili wanawake .Mwisho nimeshangaa sana kuona huyo jamaa Pasco amependa ulichokiandika ,huyu jaamaa huona mandiko yake nikawa nadhani akili inafanya kazi kulinganisha na mabupuru mengine humu .

Naimani ipo siku nitafahamu swahili lakini kwa sasa bado nipo makini na Kiswahili na lafdhi zake
 
"Vaginas vary in shape, size and
colour," says Dr Elneil. "Some are
small and ovoid (egg-shaped), some
are large and cylindrical, and the
colours can vary from light pink to a
deep brownish red-pink. The
important thing is that the vagina
functions normally."

Duh... Kumbe, sikuwahi kufikiria!!
Umenifanya nicheke kidogo nilikuwa na mama mmoja wa kikenya mkikuyu nafanya nae kazi mahali pia alikuwa ni jirani yangu ipo siku tukawa tunazungumza kuhusiana na mambo ya mapenzi nikamuliza wakikuyu mnakatwa Vi -s-mi ,sasa hizo raha za kufanya mapenzi si ndio zimepote ?akaruka Ooo mie sikukatwa nikamwambia ikiwa wewe umri wako sasa 45 na ushehe na wakati huo ulikuwa ni wakati bado mambo haya hayajapigiwa kelele ulimwenguni na bado hadi sasa mnafanya ,akasemate mie nakueleza sijakatwa nikamuliza ulijuwaje kama hujakatwa kama ulikatwa ukiwa mdogo kama tunavyokatwa sisi magovi wiki chache tu baada ya kuzaliwa ,jibu lake akasema nilijiangalia nikamwambia ulijiangalia vipi akasema niliweka kioo sasa na wewe si fanya kam huyo Dada chukuwa kioo weka au rikodi katika mobili yako kisha uangalie🙂)))
 
Yarabi tobaaaaa!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom