Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Asante maana nataka kuingizwa mjiniSio kweli hata
AsanteHakuna ukweli
Tuwekee na ya mapacha banaa..Wapendwa hiyo hapo ni calendar ukitaka kuchagua uzae mtoto jinsia gani unaangalia miaka yako na miezi ya kubemba mimba hiyo ni calendar ya china Mimi naomben kupata uhakika hapa kwa walio na watoto hasa wanawake
He miaka yako na mwez uliobeba mimba ni sawa na kwenye hiyo kalendar????
View attachment 738415
I swear kwangu ni kweli kabisaaHa ha ha acha utani [emoji3][emoji41]
Hata wanaume inatuhusu hii.Wapendwa hiyo hapo ni calendar ukitaka kuchagua uzae mtoto jinsia gani unaangalia miaka yako na miezi ya kubemba mimba hiyo ni calendar ya china Mimi naomben kupata uhakika hapa kwa walio na watoto hasa wanawake
He miaka yako na mwez uliobeba mimba ni sawa na kwenye hiyo kalendar????
View attachment 738415