Kwa wanawake wote mliofunga PM

Kwani mkuu....
Siku ukija kuona mwanaume ameanzisha thread kwamba hataki usumbufu huko PM, ama aseme kwamba amefunga PM kwasababu anasumbuliwa sana...
Wewe kwa mawazo yako utamuelewa aje huyo mwanaume...!!??
Ebu sema ukweli wa moyoni mwako
😂😂😂 unawaonea bwana Baba Mchungaji.

Nimejikuta nawakumbuka rafiki zangu fulani hivi hapa ambao nao wamefunga PM zao. 😂😂😂😂

Tooba. 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Mama mchungaji, ebu tuache utashi ubaki palepale na kwamaana ileile. Member anapo tema nyongo na kujiweka kwenye kundi la wanao ishi humu kwa hofu na mashaka, basi nadhani member huyo hana ulazima kujibu PM yeyote ikiwa tu ataona kwamba hataki kuwasikiana ya yeyote.
Na tukirudi kwenye ushawishi, ebu kwanza tuwekane sawa hapa... Hivi kweli mwanaume aliye kamilika na uanaume wake kweli inaingia akilini akikwambia kwamba alishawishiwa..!!??
Tena mbaya zaidi aseme eti alishawishiwa PM ilkhali tayari alisha chagua aina ya maisha yake ya humu Jf...!!
Hapana mama mchungaji, ebu naomba uongeze hoja kidogo uzito ili nikubaliane na wewe btafadhali
 
Wasio julikana wanafanya kazi rahisi kumpta mtu kuliko unavyo fikiri ila tu ukiwa na sumu zaidi kwao
 
Hii ni ngumu Baba Mchungaji sababu waeza kuta ni mtu mumezoweana huko majukwaani na huyo huyo ni hao wasiojulikana je akija PM waeza usimjibu na kumkalia kimya? Na hapo akija anakuja na matani yake yaleyale ya jukwaani uliyoyazowea kumbe nyuma ya pazia ni walewale.
Hivyo Baba mchungaji unataka kusema kikawaida hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kushawishiwa na akashawishika hasa upande wa huko kwa Waziri Mkuu eee?. Kwangu naona ipo na inawezekana tena hasa nyie Me kwani ni wepesi kama karatasi. 😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unawaonea bwana Baba Mchungaji.

Nimejikuta nawakumbuka rafiki zangu fulani hivi hapa ambao nao wamefunga PM zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tooba. [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Mama mchungaji, ebu naomba kwanza hao rafiki zako wanisamehe kwa mtazamo na msimamo wangu.

Kwanza mwanaume hasumbuliwi, sasa kwanini afunge PM??

Pili mwanaume akiamua kutowasiliana na mtu halazimishwi na ashawishiwi, sasa kwanini afunge PM??

Tatu mwanaume akitema nyongo hapaswi kuogopa na sio lazima ajibu hoja ama tuhuma, sasa kwanini afunge PM

Nne mwanaume akizinguwa basi sio lazima ajibu PM, sasa kwanini afunge PM??

Tano mwanaume wa ukwelu hashawishiwi kwa maneno mazuri PM, sasa kwanini afunge PM??

Mwanaume anapo funga PM kwakweli inatia mashaka sana aiseeeee...
Anyway, ebu ngoja kwa leo niishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…