Kwa wanawake wote mliofunga PM

Kwa wanawake wote mliofunga PM

Hii ni ngumu Baba Mchungaji sababu waeza kuta ni mtu mumezoweana huko majukwaani na huyo huyo ni hao wasiojulikana je akija PM waeza usimjibu na kumkalia kimya? Na hapo akija anakuja na matani yake yaleyale ya jukwaani uliyoyazowea kumbe nyuma ya pazia ni walewale.
Hivyo Baba mchungaji unataka kusema kikawaida hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kushawishiwa na akashawishika hasa upande wa huko kwa Waziri Mkuu eee?. Kwangu naona ipo na inawezekana tena hasa nyie Me kwani ni wepesi kama karatasi. [emoji3]
Wepesi kama karatasi duuh
 
Mkuu....
Hapa ndipo namimi kilio changu kikubwa kilipo
🤣🤣🤣🤣 Baba Mchungaji nasikia mkifunguliwaga huwa hamkawii kubadili gia angani.

Na nyie Me si ndio waumini wa ile kauli eti hakuna urafiki / ukaribu baina ya Me na Ke lazima kuwe na kiunganishi kati au kisipokuwepo basi kitawasilishwa baadae tena na wengine nasikia hadi wanatumaga na viemoj vya kulia eti ilimradi tu wapate huruma. 🤣🤣🤣🤣
 
Napenda kuwapongeza mmekuwa selection yangu ya kwanza hapa Jf.

Kwa muda wote toka nipo Jf sijawahi kuangukia pm iliyowazi.

Kuna watu huwa natamani tuzungumze nje na huku jukwaani ila kila nikijaribu kuzama pm nakuta mlango umefugwa.

Selection yangu yote inaangukia lock za pm.

Kwa kweli wote mliofunga pm nawapa pongezi maana mimi ni moja ya fan wenu mkubwa humu Jf.

List ni ndefu niliyoifanyia utafiti huu kuzama pm zao na kukutana na lock.

Nawasilisha


Kichwa Kichafu.
Avatar Avatar Avatar
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baba Mchungaji nasikia mkifunguliwaga huwa hamkawii kubadili gia angani.

Na nyie Me si ndio waumini wa ile kauli eti hakuna urafiki / ukaribu baina ya Me na Ke lazima kuwe na kiunganishi kati au kisipokuwepo basi kitawasilishwa baadae tena na wengine nasikia hadi wanatumaga na viemoj vya kulia eti ilimradi tu wapate huruma. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gia angani

Kwanza mwanaume kutongoza ni jadi

Mwanamke kutongozwa ni suna

Ila inafuatana nini kimeendelea baada ya kufunguliwa pm

Maana sio kila anae tongoza ana nia ya ktongoza wengne ni kama kuongeza nguvu ya mawasiliano
 
Mama mchungaji, ebu naomba kwanza hao rafiki zako wanisamehe kwa mtazamo na msimamo wangu.

Kwanza mwanaume hasumbuliwi, sasa kwanini afunge PM??

Pili mwanaume akiamua kutowasiliana na mtu halazimishwi na ashawishiwi, sasa kwanini afunge PM??

Tatu mwanaume akitema nyongo hapaswi kuogopa na sio lazima ajibu hoja ama tuhuma, sasa kwanini afunge PM

Nne mwanaume akizinguwa basi sio lazima ajibu PM, sasa kwanini afunge PM??

Tano mwanaume wa ukwelu hashawishiwi kwa maneno mazuri PM, sasa kwanini afunge PM??

Mwanaume anapo funga PM kwakweli inatia mashaka sana aiseeeee...
Anyway, ebu ngoja kwa leo niishie hapa
Daah!! Naona umewaamulia Baba Mchungaji.

Ishia hapo hapo kwa kweli.
 
Back
Top Bottom