Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazuri huwa hawafungi
Ahsante kwa ushauri mujarab kabisa mkuu, bila shaka ushauri huu utazaa matundaPole ila usijali ni kumwambia popote ukimkuta anachangia unamwambia tu una shida nae
Wepesi kama karatasi duuhHii ni ngumu Baba Mchungaji sababu waeza kuta ni mtu mumezoweana huko majukwaani na huyo huyo ni hao wasiojulikana je akija PM waeza usimjibu na kumkalia kimya? Na hapo akija anakuja na matani yake yaleyale ya jukwaani uliyoyazowea kumbe nyuma ya pazia ni walewale.
Hivyo Baba mchungaji unataka kusema kikawaida hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kushawishiwa na akashawishika hasa upande wa huko kwa Waziri Mkuu eee?. Kwangu naona ipo na inawezekana tena hasa nyie Me kwani ni wepesi kama karatasi. [emoji3]
Mi Leo sina neno la nyongeza zaid ya kusema
🤣🤣🤣🤣 Baba Mchungaji nasikia mkifunguliwaga huwa hamkawii kubadili gia angani.Mkuu....
Hapa ndipo namimi kilio changu kikubwa kilipo
Hujatuma pm, acha uoga[emoji2]Mwambie ajibu pm
Kumbe eee? Lakini huko piyemu pia ni kijisehemu nacho ndugu.Wasio julikana wanafanya kazi rahisi kumpta mtu kuliko unavyo fikiri ila tu ukiwa na sumu zaidi kwao
Sawa mkuu tusubiri utekelezaji wakeAhsante kwa ushauri mujarab kabisa mkuu, bila shaka ushauri huu utazaa matunda
Hahahaa. lol.Mtani naona na wewe umefunga...!
Avatar Avatar AvatarNapenda kuwapongeza mmekuwa selection yangu ya kwanza hapa Jf.
Kwa muda wote toka nipo Jf sijawahi kuangukia pm iliyowazi.
Kuna watu huwa natamani tuzungumze nje na huku jukwaani ila kila nikijaribu kuzama pm nakuta mlango umefugwa.
Selection yangu yote inaangukia lock za pm.
Kwa kweli wote mliofunga pm nawapa pongezi maana mimi ni moja ya fan wenu mkubwa humu Jf.
List ni ndefu niliyoifanyia utafiti huu kuzama pm zao na kukutana na lock.
Nawasilisha
Kichwa Kichafu.
Hivyo unawapotezea?Sio kauli tata ni yakawaida maana wapo wanao kuja kwa nia ambayo unaona huyu tapeli sasa unahangaika nae wa nini
Gia angani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baba Mchungaji nasikia mkifunguliwaga huwa hamkawii kubadili gia angani.
Na nyie Me si ndio waumini wa ile kauli eti hakuna urafiki / ukaribu baina ya Me na Ke lazima kuwe na kiunganishi kati au kisipokuwepo basi kitawasilishwa baadae tena na wengine nasikia hadi wanatumaga na viemoj vya kulia eti ilimradi tu wapate huruma. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NdioHivyo unawapotezea?
😂😂😂😂 nimecheka. Lol.Duhhh....
Mkuu, ebu usiniandikie comment tafadhali..teh[emoji28]
Hahahaa. lol.
Mtani hivi ni kweli? 🤣🤣🤣
Daah!! Naona umewaamulia Baba Mchungaji.Mama mchungaji, ebu naomba kwanza hao rafiki zako wanisamehe kwa mtazamo na msimamo wangu.
Kwanza mwanaume hasumbuliwi, sasa kwanini afunge PM??
Pili mwanaume akiamua kutowasiliana na mtu halazimishwi na ashawishiwi, sasa kwanini afunge PM??
Tatu mwanaume akitema nyongo hapaswi kuogopa na sio lazima ajibu hoja ama tuhuma, sasa kwanini afunge PM
Nne mwanaume akizinguwa basi sio lazima ajibu PM, sasa kwanini afunge PM??
Tano mwanaume wa ukwelu hashawishiwi kwa maneno mazuri PM, sasa kwanini afunge PM??
Mwanaume anapo funga PM kwakweli inatia mashaka sana aiseeeee...
Anyway, ebu ngoja kwa leo niishie hapa