Hii ni ngumu Baba Mchungaji sababu waeza kuta ni mtu mumezoweana huko majukwaani na huyo huyo ni hao wasiojulikana je akija PM waeza usimjibu na kumkalia kimya? Na hapo akija anakuja na matani yake yaleyale ya jukwaani uliyoyazowea kumbe nyuma ya pazia ni walewale.
Hivyo Baba mchungaji unataka kusema kikawaida hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kushawishiwa na akashawishika hasa upande wa huko kwa Waziri Mkuu eee?. Kwangu naona ipo na inawezekana tena hasa nyie Me kwani ni wepesi kama karatasi. [emoji3]