Kwa wanawake wote mliofunga PM

Sasa nasikia kuna wanaume nao wamefunga PM! Najiuliza nao wanaogopa kutongozwa? Wanatongozwa sana? Wanapigwa mizinga sana? Akili yangu inaniambia ni attention seekers tu
Haya maajabu sasa nilikuwa sijazingatia hilo.

Mwanaume unafunga pm???
 
Ukiwa na uwezo wa ku-hide MAC address ya kifaa chako kuna uwezekano mkubwa sana wa kutokamatwa kama kuku, pia you need to act smart way na sio kuhide MAC address tu, mtu unatakiwa kujua unachokifanya hasa unapotenda kitu unachojua kinaweza kukuletea utata baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…