Kwa wanawake wote mliofunga PM

Kwa wanawake wote mliofunga PM

Kuna mmoja huyo nilijaribu kutuma salam za maombi naona kufuli tu mlangoni. Hawa dada zetu sio kabisa[emoji39]
 
Kuna baadhi huwa wanakuwa wataalamu wa mambo fulani. Kuna wakati unamtafuta kuongeza kitu fulani kwenye fani husika.

Maana kuna mmoja alikosea kitu fulani nikataka kumpata maelezo zaidi juu ya hicho kitu.
Naingia pm nakutana na lock ikabidi nipige chini.

Ukirudi kwa upande wako hao wa Posta mwenge si ndio hawa hawa wa jf.
Yap ndio hao lakini kule unaona uhalisia na sio avatar.
 
Kumbe sitakiwi kukutafuta...haya yameisha

Kuna umri wa kuwaachia wadogo zako/zetu humu!sisi tufanye mengine ya maana na muhimu zaidi!kwanza sipend mtu anitag chitchat!..nitag kwa mishe za maana..thts y nampenda na kumheshimu sana@mrangi...yy akiibuka anaibuka na dili za maana!sasa🤣🤣🤣🤣🙌🙌 ww men kuutwa kuchungulia jirani yako katokaje tokaje!utafeli mbaya! Eish!(jokes aside😎)
 
Hahahaa!! Tatizo ufunguo aliupotezaga Sesten Zakazaka hivyo njia ya kuja kule hata haipitiki Mtani. 🤪🤪

Zimenishitua hizo taarifa imeshakuwa dhahiri ni za kweli ujue.
Uzuri wa mambo ni kwamba funguo nimeipoteza wakati wote wawili tupo humo ndani ya Prime Minister, yaani wa nje haingii na mimi na wewe tupo peke yetu ndani🤪🤪🤪

Huko Jangwani kwenye bonde la kulimia mpunga habari ndio kama hivyo tena ulivosikia, mambo vululuvuluuu🤣🤣🤣
 
Hakika Ses. 😍😍😍😍

Hebu tuwacheni kwanza tutafakari yajayo. 😎😎😎
 
Hakika Ses. 😍😍😍😍

Hebu tuwacheni kwanza tutafakari yajayo. 😎😎😎
Yajayo naona kama ni chengachenga tu hapo Jangwani. Kama plan yenu ni kumleta Mkwasa ndio mnazidi kuingia chaka kabisaa! Hamna kocha pale. Nawaambia haya sababu nawapenda Yanga ujue 😎😎😎
 
Back
Top Bottom