Kwa Wanazuoni wa dini-Je ni haki kupokea fedha za misaada inayotoka kwenye nchi inayodhulumu mali za mataifa mengine?

Kwa Wanazuoni wa dini-Je ni haki kupokea fedha za misaada inayotoka kwenye nchi inayodhulumu mali za mataifa mengine?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Inawezekana kabisa nchi yetu inapata shida kujinasua kutoka katika umasikini kwa sababu tumeendekeza kupokea misaada iliyotokana na unyonyaji ,dhuluma vita n.k.

Yaani unapewa msaada kutoka kwenye Mali zilizoporwa kongo,Afghanistan,Iraqi,Gaza ,Vietnam,Iran n.k halafu unategemea vilio vyote hivyo vikuache salama.

Naomba viingozi wa dini mtupe muelekeo wa kithiolojia katika hili
 
Vyote ni Mali yake Bwana, vyote vinatoka kwa bwana. Hakuna fedha haramu, haramu ipo moyon mwako mzee, tumia tu mzee.
 
Ww na hao wanazuoni watakao kuniju wote ni wajinga
Unasahau ata ktk vitabu vya dini vinasema
Ya Mungu muachie mungu naya kaisali mwachie kaisali

Kwa lugha fupi nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu zilizo pangwa
Na dini ni vitu vya imani na imani ni kwa wale wenye kuamini

Maji na mafuta vyote ni vimiminika ila havichangamani wala haviungani
 
Ni haki kujisimika Vyeo kwa njia za kuuwa na dhulma za wazi.

Na hapo ukajitia kipofu kuanzia ndani kwako na kuona ya Misaada.
Mazafaka.
 
1.wametumia vyombo vya dola kumwaga damu za maelfu ya watu ili wapate madaraka.

2.jumuiya za kimataifa zinapowakosoa kwa maovu yao na kuwawekea vikwazo kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

3.wanakuja na porojo ya SIZITAKI MBICHI HIZI,..wanawabadilishia majina na kuwaita mabeberu.

lakini kipindi wanajenga matundu ya vyoo vya shule zetu kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI .tuliwaita WAHISANI wakatujengea vyoo,wakatuletea madawa ya UKIMWI na misaada ya afya kijamjj.

wanaopotukosoa kwenye maujinga yetu na ukandamizaji wa haki ..tunawaita mabeberu...na majina mabaya?
 
Attachments

  • images - 2026-05-27T181156.730.jpeg
    images - 2026-05-27T181156.730.jpeg
    55.6 KB · Views: 11
  • images - 2026-05-27T182832.277.jpeg
    images - 2026-05-27T182832.277.jpeg
    38.9 KB · Views: 7
  • images - 2026-05-27T181130.690.jpeg
    images - 2026-05-27T181130.690.jpeg
    44.9 KB · Views: 13
  • images - 2026-05-27T191333.054.jpeg
    images - 2026-05-27T191333.054.jpeg
    37 KB · Views: 8
  • images - 2026-05-27T184053.422.jpeg
    images - 2026-05-27T184053.422.jpeg
    39.3 KB · Views: 8
  • images - 2026-05-27T182859.171.jpeg
    images - 2026-05-27T182859.171.jpeg
    25.8 KB · Views: 9
Back
Top Bottom