1.wametumia vyombo vya dola kumwaga damu za maelfu ya watu ili wapate madaraka.
2.jumuiya za kimataifa zinapowakosoa kwa maovu yao na kuwawekea vikwazo kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
3.wanakuja na porojo ya SIZITAKI MBICHI HIZI,..wanawabadilishia majina na kuwaita mabeberu.
lakini kipindi wanajenga matundu ya vyoo vya shule zetu kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI .tuliwaita WAHISANI wakatujengea vyoo,wakatuletea madawa ya UKIMWI na misaada ya afya kijamjj.
wanaopotukosoa kwenye maujinga yetu na ukandamizaji wa haki ..tunawaita mabeberu...na majina mabaya?