toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Mimi ni mnunuzi wa mtandao wa aliexpress mnoo
Ijapo nina uzoefu kiasi huko kuna mambo hata kwangu hayakaa sawa kabisa
Mambo yenyewe ni haya siyaelewi hasa discount coupun hii inakuaje???
Kingine ni siku na wakati wa manunuzi hapo pia pananizingua nilimsikia huku jf member mmoja akidai kuwa ijumaa huwa ndo siku nzuri ya kununua aliexpress akadai kuna disount. nilimuuuliza zaidi hakunijibu naomba ufafanuzi juu ya hili
Wasaa wa manunuzi wengine wanadai usiku mimi nauliza ni usiku saa ngapi kwa saa za huku nd mud a wa kununua bidhaa kwa bei ya chini zaidi??
Kuuliza si ujinga jamani kuna bidhaa nyingine wameweka option kwamba ni uchague UK PLUG, US PLUG, EU PLUG, hapo huwa sielewi hizo plug wana maana gani??
Msaada tafadhali