Kwa wanunuzi wa mitandao ya Aliexpress na Alibaba haya mambo yananichanganya akili

Kwa wanunuzi wa mitandao ya Aliexpress na Alibaba haya mambo yananichanganya akili

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Mimi ni mnunuzi wa mtandao wa aliexpress mnoo

Ijapo nina uzoefu kiasi huko kuna mambo hata kwangu hayakaa sawa kabisa

Mambo yenyewe ni haya siyaelewi hasa discount coupun hii inakuaje???
Kingine ni siku na wakati wa manunuzi hapo pia pananizingua nilimsikia huku jf member mmoja akidai kuwa ijumaa huwa ndo siku nzuri ya kununua aliexpress akadai kuna disount. nilimuuuliza zaidi hakunijibu naomba ufafanuzi juu ya hili

Wasaa wa manunuzi wengine wanadai usiku mimi nauliza ni usiku saa ngapi kwa saa za huku nd mud a wa kununua bidhaa kwa bei ya chini zaidi??

Kuuliza si ujinga jamani kuna bidhaa nyingine wameweka option kwamba ni uchague UK PLUG, US PLUG, EU PLUG, hapo huwa sielewi hizo plug wana maana gani??
Msaada tafadhali
 
hizo ni plug za umeme... kwa socket zetu zilivyo chagua UK plug inakuwa na pini 3... kama fridge ile unayochomekea umeme...

us plug inakuwa na pini mbili kama unazoona kwenye mabirika ya maji mengi...

hivyo ni vitu vya ku google tu ndugu tuache uvivu.... internet ina kila information unayohitaji
 
Angegoogle mpka picha angepata ,, mengine kauliza ya msing asaidiwe hapo
 
hizo ni plug za umeme... kwa socket zetu zilivyo chagua UK plug inakuwa na pini 3... kama fridge ile unayochomekea umeme...

us plug inakuwa na pini mbili kama unazoona kwenye mabirika ya maji mengi...

hivyo ni vitu vya ku google tu ndugu tuache uvivu.... internet ina kila information unayohitaji
Watanzania ni wavivu wa kusoma asikuambia mtu. Yaani zile Tembo zetu zingewezwe kufichwa kwenye Maandishi basi zingepona zote
 
hata anavyouliza majibu yapo kwenye internet.. ali express na alibaba zinahudumia dunia nzima.. sasa taarifa zao zote zipo google..
Ukiweza kusaidia saidia.kule kuna kingereza kinachanganya sio wote tunakijua
 
Back
Top Bottom