ndika jibu kwa neno moja la kinyakyusa kwa kila swali
1.mtoto aliyezaliwa kilion anaitwaje
2.mtoto wa kwanza wa kike wa chifu (princes) anaitwaje
3.mkewa mfalme
4.mtoto aliyezaliwa akakua kutoka kwa mama aliyekuwa anazaa watoto na kufa
5.nyumba ya baba ya kinyakyusa ambayo haikokwi moto
6.mtoto aliyefata kwa mapacha kuzaliwa
7.wasaidizi wa chifu katka utawala
8.sehem iliyotengwa maalum kwa vijana kujenga vibanda vyao
9.vijana kwa kinyakyusa huitwaje10.jiwe la kusagia nafaka
ONESHA UNYAKYUSA WAKO KWA KUJIBU MASWALI HAYA.