Kwa Wanyakyusa -

Kwa Wanyakyusa -

Nsololi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2007
Posts
298
Reaction score
80
ndika jibu kwa neno moja la kinyakyusa kwa kila swali
1.mtoto aliyezaliwa kilion anaitwaje
2.mtoto wa kwanza wa kike wa chifu (princes) anaitwaje
3.mkewa mfalme
4.mtoto aliyezaliwa akakua kutoka kwa mama aliyekuwa anazaa watoto na kufa
5.nyumba ya baba ya kinyakyusa ambayo haikokwi moto
6.mtoto aliyefata kwa mapacha kuzaliwa
7.wasaidizi wa chifu katka utawala
8.sehem iliyotengwa maalum kwa vijana kujenga vibanda vyao
9.vijana kwa kinyakyusa huitwaje10.jiwe la kusagia nafaka
ONESHA UNYAKYUSA WAKO KWA KUJIBU MASWALI HAYA.
 
Peleka ukabila wako kwenye "Mbeya Yetu Blogspot".
 
You Must be Suffering From Post Traumatic Stress Disorder, check With Me So that I can GENTAMYSE You. Stop being Stereotype.
 
Umechelewa isha expire siku nying hyo meseji ya copy and paste
 
ndomyana; Hajui kwamba jua halizami kuelekea Mwakaleli!
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya hakuna Jukwaa la Wanyaki hapa JF...labda hii uipeleke Chit chat au Jokes au Lugha...
 
Nashauri mijadala kama hii isiyo na faida kwa jamii yetu tuwe tunagoma kuchangia ili kutoa funzo kwa wote wanaoleta mijadala myepesi kama huu.
 
2. Ndenga
4. Mwamfu
6. Syola
7. Amafumu
 
Back
Top Bottom