Asee hamna namna naeza ruhusu mtt wangu au ndg yng yyte acheze huu mchezoHii inachukuliwa na wachambuzi wa Ndondi kuwa ndiyo KO "bora" kabisa katika ndondi za wanawake...
View attachment 2816448
Maokoto mkuu 😁😁😁Asee hamna namna naeza ruhusu mtt wangu au ndg yng yyte acheze huu mchezo
Dahh, michezo iko mingi sana mkuu, jamaa wa MMA wana mchezo wao wa kupigana vibao, asee hatari sanaa,Maokoto mkuu 😁😁😁
Ni mchezo wa hatari sana maana kifo ni nje nje yaani
MMA nao wana hekaheka zao. Mtu unaweza kubamizwa ukapata permanent brain damage aisee.Dahh, michezo iko mingi sana mkuu, jamaa wa MMA wana mchezo wao wa kupigana vibao, asee hatari sanaa,
Pamoja mkuu, Mimi nilicheza nikiwa bado mdogo kuanzia darasa la 3 mpaka form 4 nikaachana nayo nilipoenda A-level, it's a brutal game. I was a bit successful as young fighter in lower weights divisions to the extent of being called in national team in several occasions but on the way as I gained weight I discovered that I had a glass chin so I abandoned the game and concentrate in studies.Asee hamna namna naeza ruhusu mtt wangu au ndg yng yyte acheze huu mchezo
Angalia ss hii mambo, uyo jamaa cjui kapasuka icho kichwa mana c umeona damu kisogoni uko, kufa ni chaap tu apoMMA nao wana hekaheka zao. Mtu unaweza kubamizwa ukapata permanent brain damage aisee.
Huo wa kutandikana makofi sijawahi kuuelewa kabisa. Pesa hizi we acha tu!
View attachment 2885944
Ukipata nafasi angalia roundi 4 walizopigana Thomas hearns "the motorcity cobra" Vs Marvin Heagler. Au angalia Ko aliopigwa Roberto Duran na Tommy Hearns "the hitman"K.O aliyopigwa Rick Hitman Hatton na Floyd Mayweather ilikuwa K.Oya kiufundi sana
Cheki hili balaa mzee wanguMMA nao wana hekaheka zao. Mtu unaweza kubamizwa ukapata permanent brain damage aisee.
Huo wa kutandikana makofi sijawahi kuuelewa kabisa. Pesa hizi we acha tu!
View attachment 2885944
Au angalia Ko aliopigwa Roberto Duran na Tommy Hearns "the hitman"
OYA HIYO NGUMI SIO POAMchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa!
Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa unaweza hata kupoteza maisha au kupata uharibifu wa kudumu katika mfumo wako wa fahamu.
Kwa wachache mnaoupenda mchezo huu wa kibabe. Hebu tupieni picha au vi-clip vifupi fupi vya knockouts (KOs) au technical knockouts (TKOs) unazozikubali sana.
Kama huupendi mchezo huu na unauona kuwa ni mchezo wa kihayawani usiotakiwa kwa binadamu anayejitambua basi pita kimya kimya tu.
Mods msiuunganishe uzi huu na nyingine zinazohusu Boxing.
Mimi naanza na huyu jamaa hapa. Alitandikwa ngumi kali ambayo ilimfanya avurugikiwe na mfumo wa balansi kabisa....The Sweet Science ❤️❤️❤️
View attachment 2816444
Daah nimeirudia zaidi ya mara 5
Hii ilikua balaa huyo Jamaa mfupi anagongwa ngumi haziingii km anaguswaguswa tu yeye katia vitasa viwili vitatu mtu chali gemu overThomas hearns "the motorcity cobra" Vs Marvin Heagler
Huu mchezo ndio napenda sasaMMA nao wana hekaheka zao. Mtu unaweza kubamizwa ukapata permanent brain damage aisee.
Huo wa kutandikana makofi sijawahi kuuelewa kabisa. Pesa hizi we acha tu!
View attachment 2885944