Kwa wapenda Masumbwi (Boxing): Weka picha au video fupi ikionyesha KO au TKO unayoifagilia sana

Kwa wapenda Masumbwi (Boxing): Weka picha au video fupi ikionyesha KO au TKO unayoifagilia sana

Dahh, michezo iko mingi sana mkuu, jamaa wa MMA wana mchezo wao wa kupigana vibao, asee hatari sanaa,
MMA nao wana hekaheka zao. Mtu unaweza kubamizwa ukapata permanent brain damage aisee.

Huo wa kutandikana makofi sijawahi kuuelewa kabisa. Pesa hizi we acha tu!

 
Asee hamna namna naeza ruhusu mtt wangu au ndg yng yyte acheze huu mchezo
Pamoja mkuu, Mimi nilicheza nikiwa bado mdogo kuanzia darasa la 3 mpaka form 4 nikaachana nayo nilipoenda A-level, it's a brutal game. I was a bit successful as young fighter in lower weights divisions to the extent of being called in national team in several occasions but on the way as I gained weight I discovered that I had a glass chin so I abandoned the game and concentrate in studies.
I know how hard I was training and how much I was absorbing those solid punches in the training sessions!
Seriously I will never want my kids to have any part of this game in life. I believe the toughness I have faced in education might have been partly due to my involvement in boxing! Thanks god all my 3 children are excelling well in education and non of them thinks of boxing!
 
K.O aliyopigwa Rick Hitman Hatton na Floyd Mayweather ilikuwa K.Oya kiufundi sana
Ukipata nafasi angalia roundi 4 walizopigana Thomas hearns "the motorcity cobra" Vs Marvin Heagler. Au angalia Ko aliopigwa Roberto Duran na Tommy Hearns "the hitman"
Ndio utajua kuwa kuna watu wanajua kupiga[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa!

Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa unaweza hata kupoteza maisha au kupata uharibifu wa kudumu katika mfumo wako wa fahamu.

Kwa wachache mnaoupenda mchezo huu wa kibabe. Hebu tupieni picha au vi-clip vifupi fupi vya knockouts (KOs) au technical knockouts (TKOs) unazozikubali sana.

Kama huupendi mchezo huu na unauona kuwa ni mchezo wa kihayawani usiotakiwa kwa binadamu anayejitambua basi pita kimya kimya tu.

Mods msiuunganishe uzi huu na nyingine zinazohusu Boxing.
Mimi naanza na huyu jamaa hapa. Alitandikwa ngumi kali ambayo ilimfanya avurugikiwe na mfumo wa balansi kabisa....The Sweet Science ❤️❤️❤️

View attachment 2816444
OYA HIYO NGUMI SIO POA

Jamaa kamaa kama anaendelea na huu mchezo basi ana moyo
 
Charlo vs. William. Ngumi safi ya kidevu! 👏

 
Back
Top Bottom