kwa wapenda mathematics wote!

deni

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
255
Reaction score
191
Ni usiku wa manane. Kuna vijana wanne; A,B,C na D, wanahitaji kuvuka daraja lenye uwezo wa kuvusha watu wasiozidi wawili kwa wakati mmoja. Wote wanne wanahitajika wawe ng'ambo ya daraja baada ya dakika 17.. Kila mmoja ana speed yake ya kuvuka daraja: A yupo very fast anawezavuka kwa 1 min. B kwa 2 mins. C kwa 5 mins. D kwa 10 mins. Kama wakienda wawili alie fast hawez kumuharakisha alie slow kwahiyo speed itakayotumika ni ya slow. Pia kila wavukapo lazma wawe na tochi(tochi ipo moja). Mfano: A na D wakienda watatumia 10 mins na D akarudisha tochi,10mins jumla 20mins na watakua wamefeli. Je watavukaje kwa 17mins?
 
ukisikia msosi hakuna afu mbuzi kagoma kwenda ndio hii
 
wasivuke na wachelewe wote! ngoma drooo
ukimwaga ugali namwaga unga.
mahesabu kaka najua ya pesa tu sio ya kuvusha daraja.
 
mnavuka wenye speed tu..uyo anaetembea kwa maringo achaneni nae...anaishi kwa msemo there is no hurry in africa
 
mkuu...ni lazma watumie 19 minutes!!!

hapana tatizo watu wanapokuwa wanawavusha hawo wanajikaririsha kwamba lazma mtu atakayerudisha tochi awe kati ya wale wawili walioenda! Hebu jaribu vizuri tena bila kujiwekea mipaka kama hiyo kama vipi tumia vijiti au vkaratasi kwa mfano wa watu!
 
sasa kaka hii ndo nini?

mkuu unataka tuanze kuandika essay kwenye maths?

hapana tatizo watu wanapokuwa wanawavusha hawo wanajikaririsha kwamba lazma mtu atakayerudisha tochi awe kati ya wale wawili walioenda! Hebu jaribu vizuri tena bila kujiwekea mipaka kama hiyo kama vipi tumia vijiti au vkaratasi kwa mfano wa watu!

"Wote wanne wanahitajika wawe ng'ambo ya daraja" muonekano wa swali unaonesha initially wote wapo at same location and minimal time is 19 mins.. vinginevyo swali lako halijajitosheleza kimaelezo. Kwa assumption hiyo iwapo at least mmoja atakuwa at opposite direction ni lazima upate <=17 mins.
 
assume A yupo opposite na B, C, D na torch ipo kwa B, C, D
A= 1
B= 2
C= 5
D= 10

C&D + A + A&B
10+1+2= 13 mins
 
assume A yupo opposite na B, C, D na torch ipo kwa B, C, D
A= 1
B= 2
C= 5
D= 10

C&D + A + A&B
10+1+2= 13 mins

kumbuka wote wanatakiwa wavuke daraja kwa mujibu wa maelezo yako A hajavuka daraja
 
Kwa mujibu wa swali lako, hawawezi kuvuka chini ya dakika 17. Na only minimal time ni AD+A+AC+A+AB = 19 min.
 
A na B wanavuka 2 min
A anarudisha torch 1 min
C na D wanavuka 10 min
B anarudisha torch 2 min
A na B wanavuka 2 min
jumla 17 min
 
kumbuka wote wanatakiwa wavuke daraja kwa mujibu wa maelezo yako A hajavuka daraja

oooh sawa mkuu nisahau ku+1

assume A yupo opposite na B, C, D na torch ipo kwa B, C, D
A= 1
B= 2
C= 5
D= 10

C&D + A + A&B + A [C na D wanavuka kwa 10mins halafu wanampa torch A ambaye atavuka kwa kutumia 1min, atamchukua B na watavuka kwa 2mins then A atarudi nga'mbo ya pili]
10+1+2+1= 14 mins [jumla ya muda watatumia]
 
kaka hapo umenoa C na D watampaje tochi A,ambaye yupo ngambo nyingine bila mmoja wao kuchukua muda wake na kuvuka kumpeleke tochi huyo A. Fanya ufanyalo dakika hazwez kupungua 17!
 
acha ubishi na kujifanya unajua. Kwani hivi nini;A na B wakivuka 2mins na A akarudisha tochi 1mins(sum 3mins) halafu C na D wakavuka 10mins na B akarudisha toch(sum 12mins) halafu A na B wakamalizia kwa 2 mins. 3 12 2=17
 
nimekubali soln ya simplemind 100% yupo right.. nilitafsiri swali vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…