deni
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 255
- 191
Ni usiku wa manane. Kuna vijana wanne; A,B,C na D, wanahitaji kuvuka daraja lenye uwezo wa kuvusha watu wasiozidi wawili kwa wakati mmoja. Wote wanne wanahitajika wawe ng'ambo ya daraja baada ya dakika 17.. Kila mmoja ana speed yake ya kuvuka daraja: A yupo very fast anawezavuka kwa 1 min. B kwa 2 mins. C kwa 5 mins. D kwa 10 mins. Kama wakienda wawili alie fast hawez kumuharakisha alie slow kwahiyo speed itakayotumika ni ya slow. Pia kila wavukapo lazma wawe na tochi(tochi ipo moja). Mfano: A na D wakienda watatumia 10 mins na D akarudisha tochi,10mins jumla 20mins na watakua wamefeli. Je watavukaje kwa 17mins?