Fifteen JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 512 Reaction score 594 Oct 6, 2023 #1 Habari jukwaani kwa wawafatiliaji wa movie za aliens sizani kama Kuna movie Bora kuizidi invasion ambayo iko season two episode ya 7 week hii ubora wake ni 1. kwanza Aliens hawajavamia america tu ni world wide. 2. Aliens hawaongei kingereza Wala hawafati linguistics yetu. 3. Mapambano hayaongozwi na USA pekeake kama movie nyingi. 4. Inaonyesha Kua Aliens ni different species sio kama tunavoonyeshwa kwenye movie zingine. Hii movie wamejitahidi sana kuweka uhalisia.
Habari jukwaani kwa wawafatiliaji wa movie za aliens sizani kama Kuna movie Bora kuizidi invasion ambayo iko season two episode ya 7 week hii ubora wake ni 1. kwanza Aliens hawajavamia america tu ni world wide. 2. Aliens hawaongei kingereza Wala hawafati linguistics yetu. 3. Mapambano hayaongozwi na USA pekeake kama movie nyingi. 4. Inaonyesha Kua Aliens ni different species sio kama tunavoonyeshwa kwenye movie zingine. Hii movie wamejitahidi sana kuweka uhalisia.