Tutarajie kufurahia/Tutarajie kufadhaika
Vitu vinavyoongelewa na CCM mtu CHADEMA hawezi kukiona cha maana kwakuwa moja kiu yao ni kuona chama chao kinatawala nchi siku moja na na kipindi chao cha kutaka adhma yao hii itimie ni kipindi hiki watu wa CCM wawavulie kwakuwa ukweli siku zote hauji kwa utamu.
Vilevile CHADEMA akiwa ananadi sera zake mtu wa CCM haoni mtu kama anamfaa kwa lolote hasahasa kwa wapinzani wenye sera imara za kuvutia wananchi wawavumilie kwakuwa Ukweli siku zote sio mtamu weka sera zitakazo vuta watu na kwako.
Wahimizeni wafuasi wenu siku ya uchaguzi wakapige kura kwa mustakabali wa maisha yao, biashara zao, ajira zao, amani yao na kwa future ya kizazi chao.
Watakao shindwa kwa idadi ya kura zilizopigwa na wananchi wakubali wakajipange kwa wakati mwingine haijalishi uko chama gani kama wananchi wamekukataa usiwavuruge watu kwa interest zako au za chama hii nchi yakwetu wote.
TANZANIA YA WOTE