Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha hapo hakuna zawadi Rafiki 🤣🤣Hebu kuweni na shukrani jamani, its the thought that counts🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha hapo hakuna zawadi Rafiki 🤣🤣Hebu kuweni na shukrani jamani, its the thought that counts🤣🤣🤣
Mambo ya wenyewe hayo.Kwakweli, hamna namna.
Hebu ridhikeni jamani, yaani hapo tumejipinda hadi sio poa🤣🤣🤣Hahahahaha hapo hakuna zawadi Rafiki 🤣🤣
Hahahahahaha, dah , sawq Rafiki acha tukubali thawadiHebu ridhikeni jamani, yaani hapo tumejipinda hadi sio poa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Unataka kusemaje mkwe?
HahahahahaBado kiuno kina mayai hicho mkwe, endelea kufyatua tubinti tuzuri...
Eeeh namna hiyo rafiki, maana mavitu yenu nayo ghali mno jamani🙆🙆Hahahahahaha, dah , sawq Rafiki acha tukubali thawadi
Shindwaaa! Mayai yamekauka.Bado kiuno kina mayai hicho mkwe, endelea kufyatua tubinti tuzuri...
Shindwaaa! Mayai yamekauka.
AminaTukatoe sadaka kwa watoto yatima
Hahahahaha kwa hy ndio immepitisha thawadi hizo mtuletee ?Eeeh namna hiyo rafiki, maana mavitu yenu nayo ghali mno jamani🙆🙆
Hata leso nilitupa acha ninunue nyingine sasa nifutie machoziJamani wewe 😃😂😂...
Niko hapa nimekuja, usilie tenaHata leso nilitupa acha ninunue nyingine sasa nifutie machozi
Nimenyamaza na ukiwa hapa tu mi kwangu inatosha hayo mambo ya huko kwa waziri mkuu labda iwe faragha kuu kabisaNiko hapa nimekuja, usilie tena
Vizuri kama ni hivyo.. vipi lakin unaendeleaje?Nimenyamaza na ukiwa hapa tu mi kwangu inatosha hayo mambo ya huko kwa waziri mkuu labda iwe faragha kuu kabisa
Plus Ash Wed..Tushakataa, kwanza tutakuwa kazini hiyo siku.
Naendelea poa namalizia dozi yng sa nne leo.. hofu ni kwk mkuu?Vizuri kama ni hivyo.. vipi lakin unaendeleaje?