Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Katuni ya walk races ilikuwa bab kubwa. Pia kuna katuni ya jamaa wachimba madini kulikuwa na dogo anastua kama joti
 
Kwa upande wangu movie zangu bora za katuni ambazo nimeangalia ni hizi.

Kun Fu Panda
Penguins of Madagascar
Puss in Boots
Rango
The Lion King
Hotel Translavenia
Rio
Finding Nemo
Finding Dory
Toy Story
 
Aisee nimeangalia nyingi Sana Ila ninazozipenda Ni

How to Train Your Dragon zote
Kung Fu Panda zote
Frozen, bado hii ya pili sijaicheck.
The Boss Baby
Zootopia
Moana
Captain Underpants
Despicable me zote
Emoji
Toy story zote
Rango
Spider Man Into the Spider Verse
Coco
 
Natamani siku zikimbie nikaicheck spies in disguise. Tom na Smith watakavyo nichekesha🤣🤣 25 mbali aisee.
 
Monster University hii ni hataree mazeee utakutana na dogo master plan hapo Michael whiskey. Ice Age zote za moto kuna kajamaa kichwa kibovu sana anaitwa Sidy hahahahaaa miyeyusho sana uyo chalii.

Retetories hii story yake nzuri sana jamaa anajiliwa kwnye hotel kama mfanya usafi anajikuta katengeneza soup moja matata sana kwa msaada wa panya.

Coco hii utaangalia asubuhi mchana na jion ukitaka kulala lakin bado utoichuka kitu muhimu tunapokufa tuhakikishe picha zetu zimebakia dunian ili tupate VIP huko mbinguni.

Adventer of Tin Tin hii dogo ananunua meli ndogo pambo kumbe ndan yake kuna raman ya miaka ya nyuma kuna meli ilibeba madin mengi sana kwa hyo jins ya kufika hpo meli ilipozama lazima huwe na uo mchoro ya moto.

The Crood Ibu got new boy Ibu got new boy[emoji445][emoji444] hii kali sana jamaa walikuwa wanaishi eneo kama la jangwa yakatokea majanga tofaut tofau koo nying zikafa ikabakia familia moja tu ya crood ikabid wajifiche kwenye pango miaka kwa miaka baba akawaambia watoto tunapotok nje hakikisha augusi kitu chochote ni nouma sanaa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwa Shrek hasa namba 1 na 2 nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Batman
The simpsons
Benten
Bakugan
Avatar korra
Avatar the last air bander
Looney tunes
The flintstones
Spongebob squarepants
Alvin and the chipmunks
Justice league
The boondocks
Scooby doo
Transformers
The spectecular spiderman
Naruto

The power puff girls
Samurai Jack
GEN:LOCK
Pinky and the brain
Thundercats
Death note
Teenage mutant ninja
Tom and jerry
The pink panther
POKEMON
JOHNNY BRAVO

List ni kubwa mno maana bdo nafatilia zinazoendea kutoka miaka ya karibuni
 
Uko vizur mkula Kuna vitu umenikumbusha way back duuuuu ngoja nikavipakue chapu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…