Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Tafuta kitu kinaitwa Hotel Transyvalnia yaan hautotamani iishe hyo kitu.
 
Kuna nyingine ile ya minions. Mwaka huu imetoka namba 2 yaan ni shida
 
The Lion King na animations karibu zote za akina Disney Princesses
 
Huu uzi ni spesho kwa ajili ya wapenda movie za katuni/animation.

Zipo nyingi sana zilizowahi fanya vizuri hapa duniani na kufanya watoto na watu wazima wakae kuziangalia

Mimi nazipenda na ndo bora sana kwangu hizi

~Tom and Jerry
~Rango
~Madagascar
~Big boss
~nk

Nawe shusha zako hapa chini, na kama unajua ni wapi tunaeza zipata hizi movie tupe links tukapakue.
 
Hizi nyuzi zipo karibu 4 zingeungwa pamoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…