New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Eeeewaaaaa!!! Cartoons bila tom and jerry sio cartoonsHuwezi kujinasibu kuwa U-mpenzi wa cartoons bila kuitaja series za TOM and JERRY...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeewaaaaa!!! Cartoons bila tom and jerry sio cartoonsHuwezi kujinasibu kuwa U-mpenzi wa cartoons bila kuitaja series za TOM and JERRY...!!
VzuriHello guys. Mambo!?
Jamanii mm napenda sana kuangalia cartoons pamoja na burudani nyingine nnazozipenda hii nayo ni moja wapo,nimeangalia nyingi Ila ninazozipenda kati ya zile nyingi ni hizi;
*Zootopia
*Moana
*Ice age
*Alvin and the chipmunks
*Shrek
*Cinderella
*Tangled
*Galactic football
*Kilimani sesame
Zingine nimesahau majina yake
Hebu naww tupia zako kali ili na sisi tusioziona tuzitafute na tuburudike.
Karibuni wapenzi wa cartoon ñ animation.
Ndugu wala usiumize sana kichwa maana ukweli ni kwamba zote hizo ni katuni.ayo mambo mengine ni mbinu tu za watu kukuza biashara zao za tekinolojia.Hii nimeiona pia, zote ni tam kwakweli. Hebu nipe basi jamanii hizo tofauti kati ya katuni na animation naona kila nnae muuliza humu hañijbu, wewe nijibu basi
Rango, moana, sing, minion, zootopia, beauty and beast, frozen nkNajua humu jukwaani wapo wadau wa Movie hizi
Ni film gani ya animation unadhani hutakiwi kukosa kuitazama?
Moana nzuri sanaStrange magic (my baby's fav)
El dorado 'The city of Gold' (my fav),
Atlantis 'The lost empire' (my fav),
Pocahontas (my fav),
Rango,
Frozen,
Princess and Frog,
Alpha and Omega,
Cinderela,
Moana,
Elena,
And so much more.
Naaam hujakosea.Moana nzuri sana
Strange magic (my baby's fav)
El dorado 'The city of Gold' (my fav),
Atlantis 'The lost empire' (my fav),
Pocahontas (my fav),
Frozen (my fav)
Tangled (my fav)
Rango,
Sinbad,
Hotel Transylvania 1-2 (very funny)
Mr. Peabody (my fav)
Princess and Frog,
How to train your dragons 1-2,
Tinker Bell and the Pirate fairy,
Alpha and Omega,
Cinderela,
Moana,
Elena,
And so much more.
Hehehe sawaaaaaa.Na add apo Stars war (rebels)
jajajajajajajaja kweli aiseeeeeeNyie jamaa nyie... Mmeisahau Puss in Boots?