Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Vzuri
 
Hii nimeiona pia, zote ni tam kwakweli. Hebu nipe basi jamanii hizo tofauti kati ya katuni na animation naona kila nnae muuliza humu hañijbu, wewe nijibu basi
Ndugu wala usiumize sana kichwa maana ukweli ni kwamba zote hizo ni katuni.ayo mambo mengine ni mbinu tu za watu kukuza biashara zao za tekinolojia.
 
Najua humu jukwaani wapo wadau wa Movie hizi.

Ni film gani ya animation unadhani hutakiwi kukosa kuitazama?
 
Strange magic (my baby's fav)
El dorado 'The city of Gold' (my fav),
Atlantis 'The lost empire' (my fav),
Pocahontas (my fav),
Frozen (my fav)
Tangled (my fav)
Rango,
Sinbad,
Hotel Transylvania 1-2 (very funny)
Mr. Peabody (my fav)
Princess and Frog,
How to train your dragons 1-2,
Tinker Bell and the Pirate fairy,
Alpha and Omega,
Cinderela,
Moana,
Elena,
And so much more.
 

Na add apo Stars war (rebels)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…