MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Toystory ni nomaa, halafu kuna moja hivi ilikuwa inaitwa A Bug's life ni hatari sanaa, ya mwaka 98 kama sikosei.Toy Story zote
Sana sana napendelea old school animation kuliko hizi za 3D ingawa huwa naangalia zote.