Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Hakuna Animation mbaya kutoka kampuni ya Dreamwork Studio. Wale jamaa ni noma..
Napenda sana Penguin of Madagascar ya 2014. Skipper hua nikikaa nakua naongea dialogue zake..
 
Hakuna Animation mbaya kutoka kampuni ya Dreamwork Studio. Wale jamaa ni noma..
Napenda sana Penguin of Madagascar ya 2014. Skipper hua nikikaa nakua naongea dialogue zake..
Mkuu tuwekee kazi zao ulizozielewa zaidi toka kwao na sisi tuburudike. Ongezea kama tatu hivi.
 
tutajie zako kumi ulizozielewa kupitiliza, hata km zote ni bora ila sidhan km zina viwango sawa
1. Sherk
2. Kung Fu Panda (zote)
3. Frozen 1 & 2
4. Alita Battle
5. Lion king 2019
6. Ratatouille
7. The Incredibles
8. Moana
9. Rango
10. Minions
11. Ice age
12. Tangled
13. Bolt
14. Big hero 6
15. How to train your Dragon
16. Happy feet (zote)


Dah zipo nyingi sana mzee ukisema niendelee naweka tu List ni ndefu sana za mwaka huu sijaweka hata moja hizo ni random tu.
 
dDJgani anajua kutafsiri kwa Kiswahili na katuni gani zimetafsiriwa vizuri?
 
Batman
The simpsons
Benten
Bakugan
Avatar korra
Avatar the last air bander
Looney tunes
The flintstones
Spongebob squarepants
Alvin and the chipmunks
Justice league
The boondocks
Scooby doo
Transformers
The spectecular spiderman
Naruto

The power puff girls
Samurai Jack
GEN:LOCK
Pinky and the brain
Thundercats
Death note
Teenage mutant ninja
Tom and jerry
The pink panther
POKEMON
JOHNNY BRAVO

List ni kubwa mno maana bdo nafatilia zinazoendea kutoka miaka ya karibuni
Naomba links dada nami nikajiondomole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom