Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Ile animation ya nguruwe wanadance inaitwaje niliona tangazo lake kitambo but nimesahau jina lake
 
1. Sherk
2. Kung Fu Panda (zote)
3. Frozen 1 & 2
4. Alita Battle
5. Lion king 2019
6. Ratatouille
7. The Incredibles
8. Moana
9. Rango
10. Minions
11. Ice age
12. Tangled
13. Bolt
14. Big hero 6
15. How to train your Dragon
16. Happy feet (zote)


Dah zipo nyingi sana mzee ukisema niendelee naweka tu List ni ndefu sana za mwaka huu sijaweka hata moja hizo ni random tu.
Mkuu hiyo ya 4 ni cartoon mbona ni ya watu wakawaida
 
Ni aje wakuu? poleni na majukumu. Me nimekuwa mpenz sana wa animination tangu nilipoonjezhwa na rafiki yangu baada ya kenda kumuomba movie akaniambia hana movie ila chukua hiz cartoon ukaangalie'

Tangu siku ile nimekuwa addicted na animanation izi ni baadhi ya nilizoziona nazipenda sana.
Coco
Fro&queen
Monster university
adventure of Tin tin
Frozen
Ice age ziko 1 had 4
The Crood

Ombi langu kwenu anaejua jins ya kudownload Cartoon kwnye Pc naomba maelekezo.
 
Ulishawahi download movie yeyote ww kwenye PC? Kama ulishawahi hakuna utofauti na kudownload hizo Amination njia ni moja hiyo hiyo.
 
Baadhi ya animation movies ni nzuri sana hasa zile zenye story interesting/comedy
Frozen
Zootopia
The secret life of pets 2
Finding Nemo
Puss in boots
 
Baadhi ya animation movies ni nzuri sana hasa zile zenye story interesting/comedy
Frozen
Zootopia
The secret life of pets 2
Finding Nemo
Puss in boots
Hizi zako ni za muda kweli unanikumbusha mbali.
 
Abominable 2019
Onward
Incredibles
Scoob
Trolls 2016
Trolls world tour 2020
 
Back
Top Bottom