Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Ulishawahi download movie yeyote ww kwenye PC? Kama ulishawahi hakuna utofauti na kudownload hizo Amination njia ni moja hiyo hiyo.
sijawahi mkuuu uwa naenda kuweka kwny flwash tu ndo nmepata pv nataka kujua njia rahis kudownload
 
Baadhi ya animation movies ni nzuri sana hasa zile zenye story interesting/comedy
Frozen
Zootopia
The secret life of pets 2
Finding Nemo
Puss in boots
itafute na hii TheCrood n nzur sana
 
napenda sana animation movie zikifuatiwa na movie za kifalme zle za wachina zkifuatiwa na movie za wanaija
 
Nimeangalia animations nyingi sana. Nazikubali kwa sababu zinakufanya ucheke. Halafu kuna characters wanakuwa wanachonga sana kwenye hizi movies, wanakuwa wajanja janja hv hahah

Yule punda kwenye shrek na Sid kwenye Ice Age huwa wanafurahisha.

Hizi ni baadhi ya animations ambazo naamini wengi hawajaziangalia

1. Legend of the Guardians: The Owls of Ga'Hoole
2. Racing Stripes
3. Robots.
4. Banyard
5. Shark Tale

Ni animations kali sana naomba mzitafute hizo.
 
Back
Top Bottom