Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Mara nyingi zikitajwa animations humu ndani unakuta mtu karibu zote umecheki. Hebu tusaidiane zile ambazo si maarufu sana lakini ni kali. Zile ambazo hata kwenye box office unakuta ziliflop. Mi nazijua hizi.

1.Mutafukaz, hii kali sana.
Mutafukaz_theatrical_poster.jpg

2.
Ronal_the_Barbarian_poster.jpg

3
Beavis_And_Butthead_Do_America (1).jpg

4.
Treasure_Planet_poster.jpg

5.
Atlantis_The_Lost_Empire_poster.jpg
 
Wadau nahtaji mwenye movie za cartoon za aina ya kina Rango, puss in boot, zootopia, kun fu panda, over the hedge, na nyngne za aina hyo. Nakuja na flash ninazikopi afu nakuchangia pesa ya bando. Kwa aliepo Dar. [emoji3080]
Aisee ukipata nistue na mimi aisee nije nimuungie kidogi nije naexternal kangu nichukue
 
Back
Top Bottom