Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Hapa kuna...

Commando by Mithun chakarabhot

Roha by Dharmenda, Shortgun...na yule Mtasha.

Handha Kanoon by Amitha batchan..humu ndo kuna nyimbo lote lote ,handha kanoon..

Kuna Disco Dancer by Mithun Au Jimmy kuna nyimbo Jimmy Jimmy acha acha...

Hatya By Govinda na katoto..yaya yaya,katili Anupa nkheri na Bodgad wake Lanjiti...

jai Vikranta nha Merha khe by Sunjay dat...
Endeleza
 
Shahensha,sholai,kuli na dance dance ni nouma
 
Shahensha by Amitha batchana a.k.a mkono wa chuma,

Sholay by Amita &dharumenda

Tel mel bania watu wamezoea kuiita muvi ya staa mbwa.
Handha Kanoon..ye handhaa kanoon...
Nyingine nimeisahau jina ila tafsiri yake ni Dunia haina Usawa..kuna wimbo mzuri sana humu.
 
Tel mel bania watu wamezoea kuiita muvi ya staa mbwa.
Handha Kanoon..ye handhaa kanoon...
Nyingine nimeisahau jina ila tafsiri yake ni Dunia haina Usawa..kuna wimbo mzuri sana humu.

gangaa jamuna answana swati
 
Mi nazijua kwa nyimbo zake. Kuna moja ya 'bumpchikichiki bump, chickichicki bump...' Hata sijui ni ya nani. Kuna Anil Kapoor, na yule braza wake. Of coz kina Amittah na Govinda
 
Andaz ile mbaba anakaa na mtoto wake wa kike bonge.

Humu kuna nyimbo ya "mamako papako,papako mamiko,
pyaarnhe pyaarnhe,
mama bhorobhoro,papa bhorobhoro.."
 
Sholay, Dosti, Shaan, Majboor, Janbaaz, Deewar, Amar Akbar Anthony.
 
kranti, noorie, nasseb, amar akbar antony, sanam teri kassam, hum kisise hum nahi na nyingine nyingiiii nshasahauu
 
Hahaha! Aisee! Hivi hakuna forum ya sauti? Nataka kuwaimbia kihindi, ngoja nitengeneze voice note nijaribu kuiweka humu,lol!
 
duuu mi ndo hata majina nilikuwa sina muda nayo ila akshei kumar anajua sana eti amitha bachanan amekufa au...
 
Hapa kuna...
Commando by Mithun chakarabhot

Roha by Dharmenda,Shortgun...na yule Mtasha.

Handha Kanoon by Amitha batchan..humu ndo kuna nyimbo lote lote ,handha kanoon..

Kuna Disco Dancer by Mithun Au Jimmy kuna nyimbo Jimmy Jimmy acha acha...

Hatya By Govinda na katoto..yaya yaya,katili Anupa nkheri na Bodgad wake Lanjiti...

jai Vikranta nha Merha khe by Sunjay dat...
Endeleza
540d2d4c1c90cff4884856852644dbd3_19966204.jpg
[/CENTER]
 
wekeni picha hata za cover au za matukio za hizo movies ili inoge!!
 
> Sholay -
Amitabh , Dharmendra , Shashi kapoor, Hema malini .
> Shaan -
Amitabh , Rekha
> Qurbani -
Shatrugan sinha, Vinod khana, Zeenat'aman.
> Do our do panch- Amitabh , Neetu singh .
Kwa uchache tu .
 
Ram rakan - jackieshroff na anil kapool
sooryavansham-amitabh bachchan
tridevi-jshroff,sunnydeol,amrish puri
vishwatma-sunnydeol,amrish puri
 
Back
Top Bottom