financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mkuu Inno, haya maneno ni mazito sana ujue, simfikii hata robo aisee , au kuna financial mwingine labda.Demu ni wa kawaida member mwenzetu wa jamiiforum financial services ni mzuri zaidi ya huyo demu labda rangi ndo imekuchanganya.
No simfikii kabisa.Mbona jamaa anampa sifa huyo demu wakati ni wa kawaida huyu demu kwa uzuri umemzidi je angekuona wewe live mtoa mada angesemaje?
Tatizo hapo jamaa kaangalia rangi lakini tukizungumzia sura hupo juu zaidi yake
Sasa huyo demu ana uzuri gani?Mkuu Inno, haya maneno ni mazito sana ujue, simfikii hata robo aisee , au kuna financial mwingine labda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli sifikii hata robo yani, afu hiyo avatar siyo mimi huyo.Tatizo hapo jamaa kaangalia rangi lakini tukizungumzia sura hupo juu zaidi yake
Financial services unazani me sikujui?
Kama huyu ndo phindlie mmezingua huyu hata hamfikii huyo wa kwanza
Kuja kwa wazungu hapa RSA kumepelekea kupatikana kwa tabaka la coloured ambao wengi ni visuSalaam wakuu,
Mimi hua ni mpenzi sana wa hizi series za ki sauzi since isidingo, scandal etc.
Sasa kuna hii inayoitwa Imbewu inayooneshwa e.tv ya SA, kuna mdada anaigiza character ya 'Zethu' (jina halisi Nonsie) kwa kweli licha ya uigizaji wake hodari na ulioshika hatamu, hakika pia ni mmoja wa warembo walioumbika ambaye ukibahatika kua naye basi unaweza ukahisi kila utakachokigusa hugeuka almasi.View attachment 1363849View attachment 1363850View attachment 1363851View attachment 1363852View attachment 1363853View attachment 1363854View attachment 1363855
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wazulu pyua
Acha njaaaaAmerithi kwa kaka yake!
Demu ana sura kama Mange Kimambi af mwamba unasema umeoza kinoma hapo ndipo maseke yanapotia nanga!Mboovu labda mzuli machoni pako
Sweet Manka from ARA amisyu, uko gudi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hio inaitwa Assimilation tactics!Huyo jamaa mbinu zake za utongozaji nilizitumia mwaka 1994 pale mdaula morogoro .
Sent using Jamii Forums mobile app