Kwa wapenzi wa Imbewu : The Seed, huyu Zethu ni pisi kali

Kwa wapenzi wa Imbewu : The Seed, huyu Zethu ni pisi kali

Salaam wakuu,
Mimi hua ni mpenzi sana wa hizi series za ki sauzi since isidingo, scandal etc.

Sasa kuna hii inayoitwa Imbewu inayooneshwa e.tv ya SA, kuna mdada anaigiza character ya 'Zethu' (jina halisi Nonsie) kwa kweli licha ya uigizaji wake hodari na ulioshika hatamu, hakika pia ni mmoja wa warembo walioumbika ambaye ukibahatika kua naye basi unaweza ukahisi kila utakachokigusa hugeuka almasi.View attachment 1363849View attachment 1363850View attachment 1363851View attachment 1363852View attachment 1363853View attachment 1363854View attachment 1363855

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuja kwa wazungu hapa RSA kumepelekea kupatikana kwa tabaka la coloured ambao wengi ni visu
mfano hai ni huyo manzi
 
Back
Top Bottom