Kwa wapenzi wa Imbewu : The Seed, huyu Zethu ni pisi kali

Kwa wapenzi wa Imbewu : The Seed, huyu Zethu ni pisi kali

Tatizo lao kubwa wote hao hawajui kunawa,kazi ipo chumbani
 
hisia za ngono huwa zinawaendesha sana watu...ila amini nakuambia,...siku ukibahatika kumpata...ukafanikiwa kumkojolea utamuona takataka....na utajuta sana kukutana nae
 
Salaam wakuu,
Mimi hua ni mpenzi sana wa hizi series za ki sauzi since isidingo, scandal etc.

Sasa kuna hii inayoitwa Imbewu inayooneshwa e.tv ya SA, kuna mdada anaigiza character ya 'Zethu' (jina halisi Nonsie) kwa kweli licha ya uigizaji wake hodari na ulioshika hatamu, hakika pia ni mmoja wa warembo walioumbika ambaye ukibahatika kua naye basi unaweza ukahisi kila utakachokigusa hugeuka almasi.View attachment 1363849View attachment 1363850View attachment 1363851View attachment 1363852View attachment 1363853View attachment 1363854View attachment 1363855

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiiiiiiih n [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hiyo umesema wewe mkuu
hisia za ngono huwa zinawaendesha sana watu...ila amini nakuambia,...siku ukibahatika kumpata...ukafanikiwa kumkojolea utamuona takataka....na utajuta sana kukutana nae
 
Uliangalia Ashes to Ashes?yule dada Ake Tsietsi aiseeeeee...........dah!
Au Scandal kuna yule dada liaezaa na Ndumiso walimuondoa mchezon muda kidogo..
Ila Mzansi kuna pisi nyie jamani..
 
Hatari mkuu mzansi ni shida
Uliangalia Ashes to Ashes?yule dada Ake Tsietsi aiseeeeee...........dah!
Au Scandal kuna yule dada liaezaa na Ndumiso walimuondoa mchezon muda kidogo..
Ila Mzansi kuna pisi nyie jamani..
 
Back
Top Bottom