Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu dada alokua kweny Mr Queen saiv namtizama kwenye see you in my 19 life ( nimesahau jina ) amefanya sajari?

Yan kila nikimtazama akiongea hii lips ya chin kama nzito inafanya facial iwe imesimama hapo hapo

Au macho yangu

Na anh boyoun wamemremba mno
Nimewamis vitoto
 
Shin hye sun anaitwa. Itakuwa kafanya hawachelewi hao viumbe sijui wana shida gani

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Sijatazama wala.. ingekuwa season moja ningeshaangalia ila shida ya mimi drama ikishakuwa tu na seasons mbili na kuendelea naona uvivu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Hii mi ata wakieka 10 season nitatizama
Kuna ile bond wapo nayo hata ma medical yao huzingatii

Mi napenda friendship drama ( sijui kama zina jina la kitaalam[emoji16]
 
Hii mi ata wakieka 10 season nitatizama
Kuna ile bond wapo nayo hata ma medical yao huzingatii

Mi napenda friendship drama ( sijui kama zina jina la kitaalam[emoji16]
Huwa naona nikianza season 1 nitalazimika na kuangalia inayoendelea wakati nina msururu wa drama zinaningoja (kama nalipwa kwa kuangalia drama nyingi [emoji16])

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…