Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii alchemy of soul ni nzuri au napotez mda
Nataka niangalie hii au celebrity
 
Daah watu mna siri jamani....hii drama kumbe ni tamu hivi na mmefanya siri sio vizuri hivyo
Screenshot_20230722-200607.jpg


Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja niwajaribu vijana wa sasa tuone.
Ndio kwanza naelekea sehemu ya pili. Siwezi kutoa maoni yoyote mpaka muda huu. Kazi inaitwa "THE RIVERS WHERE MOON RISES" hii ni kazi ya mwaka 2021. Ina episodes 20 ni kazi kutoka kwetu Gogryeo.
Halafu hizi title za hizi series zinakuwa na maana juu ya matukio ya ndani ya kazi husika.

kwa uungwana kabisa, kama mmepata kuku nami naomba mnirushie paja.
View attachment 2695696
Hii kitu ni ya moto kizazi kipya kimejitahidi. Kama kuna nyingine ya mahudhui haya mwenye kuijua atupie hapa. Maana za zamani zote nimeishaangalia.
 
Back
Top Bottom