Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ep 1 ya see you in my 19th life

Aah young actors wanataka kuaminisha kdrama bado ya moto kwa next generation

Kali
 
Ep 1 ya see you in my 19th life

Aah young actors wanataka kuaminisha kdrama bado ya moto kwa next generation

Kali
K-Drama zipo mikono salama kuna actors wengi wazuri wa miaka hii wameanza kuigiza tangu utotoni so hata watoto wa sasa bado wanatengeneza future ya K-Dramas.

Sema yule mtoto Ju Won acha charm aisee[emoji1316][emoji23]
 
🔥🔥🔥🔥
IMG_20230715_142022.jpg
 
Mnakwama wapi na skills za kitonga niliwapaga cha asubuhi.

Drama kwangu hazikauki
Hii trick uliyoitoa watu iliwashinda wameshindwa kufanikisha labda kuna madesa bado hujatoa ili watu wafaulu mtihani mgumu wa TCRA wa GB 1 kwa 3000😀. Ongezea ongezea nyama chingu special recipe flani ivi. Hali ngumu huku Nanjilinji-Busan😀.
IMG_20230715_140711.jpg
 
Hii trick uliyoitoa watu iliwashinda wameshindwa kufanikisha labda kuna madesa bado hujatoa ili watu wafaulu mtihani mgumu wa TCRA wa GB 1 kwa 3000[emoji3]. Ongezea ongezea nyama chingu special recipe flani ivi. Hali ngumu huku Nanjilinji-Busan[emoji3].
View attachment 2688894

Ni hivyohivyo ulivyoweka ila hakikisha unanunua muda wa maongezi hata 50 ili kusukumia mtambo

Trick ambayo inanitesa ni ya Unlimited ambayo unatumia muda wowote sio ya asubuhi tena
 
Jeuri hatuna na kitonga[emoji16]

Watchlist yako ipoje
Mi nimeanza see you in my 19th life na king the land

Baada ya kuimaliza celebrity
Leo ndio namalizia celebrity, naingia The world of the married ambayo niliitelekeza baada ya kuanza celebrity, nikishamaliza hapo nataka nitafute historical moja yenye damu changa...kama sio Joseon attorney, ni Joseon psychiatrist (kama sijakosea jina ) au Rookie historian
 
Hii trick uliyoitoa watu iliwashinda wameshindwa kufanikisha labda kuna madesa bado hujatoa ili watu wafaulu mtihani mgumu wa TCRA wa GB 1 kwa 3000[emoji3]. Ongezea ongezea nyama chingu special recipe flani ivi. Hali ngumu huku Nanjilinji-Busan[emoji3].
View attachment 2688894
Hapo mchele haujamwagwa wote huyu dogo asitufanye si hamnazo [emoji1787][emoji1787]
 
inashangaza sana,nikishadownload family drama ndefu nakosa cha kudownload kwa muda
Ile list ulionipa nimeimaliza.

My father is strange
My golden life
Ojakgyo farm
My husband got a family
Wangs family
Five enough
Once again

Hii marry me now nimeishia kati

Kama kuna zengine kali zidondoshe niruke nazo.
 
Back
Top Bottom