Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kama una mzuka wa football hii utaipenda

Una masaa mawili tu

1688928727200.jpg
 
Nzuri hii nimejifunza mengi humu.

Hio itakua bado maana sijaiona kimoi
Eeh hiyo hatari ntaitafuta

Hivi ile ya seun gi mpya ambayo watafanyia dubai sijui ishaanza? Nimeisahau jina sijui travela au nin
 
Wana jukwaa hivi njia rahisi ya ku download series kupita site za kiss Asian na my Asian tv ni zipi, maana zinanishinda nimezoea nkiri ukibofya chapu teyali
 
Wana jukwaa hivi njia rahisi ya ku download series kupita site za kiss Asian na my Asian tv ni zipi, maana zinanishinda nimezoea nkiri ukibofya chapu teyali

Mi natumia dramanice na nkiri tu
 
Hello K drama lovers,

Mimi huwa sichangii lakini huwa nascreenshot recommendation zenu nazifanyia kazi.
Last week nilichukua Good Bad mother IPO njema sana.
Leo nimeanza Dr. Cha nimecheck episode 2 Iko 🔥.
Am looking forward kuchukua;
Celebrity
Perfect stranger
Devorced attorney Shin

Thanks Guys,
Good night
 
Hello K drama lovers,

Mimi huwa sichangii lakini huwa nascreenshot recommendation zenu nazifanyia kazi.
Last week nilichukua Good Bad mother IPO njema sana.
Leo nimeanza Dr. Cha nimecheck episode 2 Iko [emoji91].
Am looking forward kuchukua;
Celebrity
Perfect stranger
Devorced attorney Shin

Thanks Guys,
Good night
Anza na Perfect Stranger Kisha Celebrity
 
Sana halafu wale wabibi wanapatana sana na vijana wa seoul kuliko wadada. Mdada atasuntwa wee ila ka mkaka katachekewa na kusifiwa sana ,huwa napenda hapo😂😂😂😂
Hizi Drama za countryside zina vibe ya kipekee sana
Summer strike
Hometown cha cha cha
[emoji91][emoji91]
 
Sana halafu wale wabibi wanapatana sana na vijana wa seoul kuliko wadada. Mdada atasuntwa wee ila ka mkaka katachekewa na kusifiwa sana ,huwa napenda hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]wabibi wakiwaona mdada na mwana wako pamoja wanahisi tu ni newlywed,huwa inanifurahisha sana wanavokana hao walioulizwa hanyeeeoooo[emoji1787]
 
Back
Top Bottom