Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeimaliza, THE FLOWER IN THE PRISON.
wow, Episodes 51, hizi ndo historical drama napenda. Drama nzuri sana, wala sishangai imepikwa na The King himself( Director Lee Byung Hoon) the godfather of historical drama. Kama hujawahi kuitazama hutojuta kuitazama. Halafu drama nyingi za huyu mwamba ni inspirational. You can rise and shine despite your humble beginning.
This is not a boring drama at all.

Dada huyu Sejyeon nilimpenda tangu nilipomuona kwa BRIDAL MASK, she was bridal by the way( Mok Dan). Then kwenye THE GRAND PRINCE.
images-3.jpeg
 

Attachments

  • images-3.jpeg
    images-3.jpeg
    11.1 KB · Views: 6
Korean drama: DEAD END JOB

Hii ni series Kali sana kutoka kwa wakorea ipo serious mno inahusiana na jamaa mmoja ana madeni makubwa halafu kazi hana katika harakati za kutafuta kazi anakutana na tangazo la kampuni inaitwa Spider staffing agency inayotoa ajira za muda zenye malipo mara 50 ya mshahara wa kawaida lakini Wana sharti moja la ajabu Hupaswi kutoa Siri yoyote kwa yanayoendelea hapo kazini.Rukeni nayo hii
 
Nimeimaliza, THE FLOWER IN THE PRISON.
wow, Episodes 51, hizi ndo historical drama napenda. Drama nzuri sana, wala sishangai imepikwa na The King himself( Director Lee Byung Hoon) the godfather of historical drama. Kama hujawahi kuitazama hutojuta kuitazama. Halafu drama nyingi za huyu mwamba ni inspirational. You can rise and shine despite your humble beginning.
This is not a boring drama at all.

Dada huyu Sejyeon nilimpenda tangu nilipomuona kwa BRIDAL MASK, she was bridal by the way( Mok Dan). Then kwenye THE GRAND PRINCE.
View attachment 3693045
Hii naipata site gani maana Mimi tokea dramacool iipotee nipo nkiri na wao wenyewe hawana vyuma vyote
 
Baada ya hekaheka kibao za kuangalia latest dramas za mwaka huu na miaka ya hivi karibuni nikaamua kuwa nachanganya na za zamani…

Juzi nikairudia The Slave Hunters, nyie? Zamani Wakorea walijua kutuliza akili haswa! Tokea waingie kwenye productions za Netflix wamenipoteza, hakuna tena ule msisimko!

Kwenye Chunno kila kitu kizuri, drama yenyewe na OST ndio kabisaaa! Yani hadi sitamani kuimaliza…
 
Back
Top Bottom